Habari kuhusu Ulaya Magharibi kutoka Julai, 2014
Alama ya Utambulisho wa Kompyuta ya Serikali ya Urusi Yakamatwa Ikihariri Makala ya Wikipedia ya Ndege ya MH17
Alama kadhaa za utambulisho wa kompyuta (IP address) ndani ya serikali ya Urusi zimeendelea kufanya kazi kazi kwenye kamusi elezo ya Wikipedia, ambapo kompyuta ya Shirika la Upelelezi la Urusi,...
Mkataba Uliovuja Waonyesha Hali Halisi Inayoikabili Sekta ya Gesi Nchini Tanzania
Kuvuja kwa mkataba kati ya kampuni ya Norway, statoil na serikali ya Tanzania waonesha hali ya mashaka kuhusiana na suala la mapato kwenye uvunaji wa gesi nchini Tanzania na suala la nani kunufaika na mkataba huo
Picha za Mabaki ya Ndege ya Shirika la Algeria AH5017 Nchini Mali Yaonyesha Ghasia, Kuanguka kwa Ghafla
VERY FIRST images of #AH5017 #AirAlgerie trickling out, via @AirLiveNet http://t.co/4pKox7rgjn pic.twitter.com/rngGTv7Rbs — Jason Morrell (@CNNJason) July 25, 2014 PICHA ZA KWANZA za ndege ya AH5017 ya Shirika la Ndege...
Dondoo 13 za Kulinda Taarifa zako Kwenye Kompyuta Zinazotumiwa na Watu Wengi
Kama uko mbioni kwenda kwenye mapumziko na unafikiri kuchukua kompyuta yako na kuiunganisha na mtandao wa intaneti wa Siwaya (Wi-Fi) au kutumia kompyuta ambazo zinapatikana kwenye hoteli au kwenye eneo...
Matamshi Matano ya Kushangaza Kufuatia Kuanguka kwa Ndege MH17 Nchini Ukraine
Wakati kukiwa na hisia zinazozidi kuongezeka kufuatia kuanguka kwa ndege nchi Ukraine, matamshi kadhaa yaliyotolewa na watu maarufu Moscow na Donetsk yamevuta hisia za watu
Hivi Ndivyo Waandishi wa Kifaransa wa Global Voices Wajivyojipanga Kusoma Kiangazi Hiki
Je, unahitaji kitabu cha kujisomea? Hapa kuna orodha ya kusoma iliyopendekezwa na waandishi wa Kifaransa kwa familia ya GV.
Ombi kwa Papa Francis Kuchukua Hatua Kupinga Madikteta wa Afrika
Une pétition en ligne adressée au Pape pour demander l'excommunication des dictateurs africains de l'Angola, de la Guinée Equatoriale, du Cameroun, du Congo et du Zimbabwe.
Namna Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza —na Hata Kuokoa—Lugha za Dunia
Waleta mabadiliko sasa wanatumia nguvu ya teknolojia kujaribu kuziokoa lugha zilizo kwenye hatari ya kupotea, na kwa nadra, kuzifufua lugha zilizokwisha kufa.