Habari kuhusu Ulaya Magharibi kutoka Aprili, 2016
Raia wa Iraqi Aliyefanya Kazi ya Ufasiri kwa Jeshi la Marekani Akwama Ugiriki
Umoja wa Ulaya unajiandaa kuwarudisha maelfu ya wakimbizi nchini Uturuki. Mmoja wapo ni kijana aliyefanya kazi na Jeshi la Marekani nchini Iraq.