Habari kuhusu Ulaya Magharibi kutoka Juni, 2016
Mfungo wa Radhamani Wawafanya Wakimbizi wa Kiislamu Nchini Uturuki Wakumbuke Nyumbani
Serikali ya ugiriki inafanya jitihada za kuwasaidia wakimbizi wa ki-Islam wakati huu wa Ramadhani,lakini kwa wale waliokwama kipindi hiki kinawakumbusha maisha ya furaha nyumbani