Hapa Global Voices, wanafamilia wetu hufanya tafiti, kuandika, huhariri, na kutafsiri habari kwa lengo la kuunga mkono haki za binadamu na kutengeneza madaraja ya uelewa baina ya nchi, tamaduni na lugha.
Hatuchapishi habari kwa lengo la kupata watu wanaobofya vichwa vyetu vya habari au kufualia habari mpya. Tunapenda, hata hivyo, tunapenda kufuatilia namna ambayo bidii yetu inawagusa watu duniani.
Mpaka hapo, kipimo kimoja wapo ni namna wasomaji wetu wanavyoitikia habari na tafsiri zetu. Kwa hiyo hebu tuone wasomaji wetu wametoka wapi na kitu gani kiliwagusa katika kipindi cha kati ya Mei 7 -13, 2018.
Wasomaji wa Global Voices wanapatikana wapi?
Juma lililopita, habari na tafsiri zetu ziliwavuta wasomaji kutoka kwenye nchi 207! Nchi 20 za juu kabisa kutoka kwenye tovuti zote za Global Voices zilikuwa ni:
1. Marekani
2. Brazil
3. Japan
4. Uhispania
5. Ufaransa
6. Mexico
7. Ajentina
8. Colombia
9. Peru
10. Taiwan
11. Italia
12. Uingereza
13. Bangladesh
14. Ujerumani
15. Ecuador
16. Urusi
17. India
18. Canada
19. Indonesia
20. Chile
Lakini hiyo ni tone tu la upana wa usomaji wake. Tuangalie zana za True Random Number Generator kutoka Random.org na kuangalie nchi chache kwenye orodha hii:
177. Iceland
61. Kazakhstan
111. Bahrain
49. Costa Rica
68. Cameroon
Global Voices kwa Kiingereza
Tovuti ya Kiingereza ndiko ambako maudhui ya awali huchaishwa hapa Global Voices. Habari tano zilizosomwa zaidi kwenye juma lililopita:
1. Madai ya wizi wa kura kwenye uchaguzi uliokiwezesha chama tawala nchini Malaysia kushinda (ilichapiswa 2013).
2. ‘Peppa Pig’ iemvuka mipaka kwa ufuatiliaji wa habari China
3. Majukwaa ya mitandao ya kijamii yafungiwa wakati wa-Turuki wakisema ‘imetosha’ kwa Rais Erdogan
4. Hijab na sketi fupi: Kile usichotakiwa kukivaa ukiwa Tajikistan
5. Nchini Uhispania, uamuzi wa kashfa ya ngono ya “la manada” wachochea maandamano makubwa
Global Voices Lingua
Lingua ni mradi unaotafsiri habari za Global Voices kwenda kwenye lugha nyinginezo zaidi ya Kiingereza. Kuna zaidi ya tovuti 30 zilizo hai. Hapa chini ni habari na tafsiri zilizosomwa zaidi wiki iliyopita kwa kila tovuti hai:
Kiarabu
- من هو جلال الدين الرومي، وإلى من ينتمي؟ (“Jalaluddin Rumi alikuwa nani, na Rumi ni wa nani?” ilichapishwa mwaka 2016)
Bangla
- নেলসন ম্যান্ডেলার ১৭টি জ্ঞানগর্ভ উক্তি যা সকলের পাঠ করা উচিৎ (“Hekima 17 za Nelson Mandela Zinazofaa Kusomwa na Kila Mmoja,” ilichapishwa mwaka 2013)
Catalan
- MeM, el Pavelló de Llengües, dóna el protagonisme a les llengües minoritàries (“MeM, sebule ya lugha, yaziangazia lugha ndogo”)
Kichina (kilichorahisishwa)
- 一名身穿「『习』特勒」T恤的中国活动人士被捕失踪 (“T-shirt ya Mwanaharakati wa China ‘Xitler’ imepotea akiwa kizuizini,” ilichapishwa awali mwaka 2016)
Kichina (cha asili)
- 台灣:對成衣品牌Lativ失望 (“Taiwan: Ahadi ya Nguo za ‘Imetengenezwa Taiwan’,” ilichapishwa awali mwaka 2012)
Czech
- Izrael, jedna z nejvyprahlejších zemí světa, má dnes vody nadbytek (“Israel, moja ya nchi kame zaidi duniani, sasa inatiririka na maji,” ilichapishwa mwaka 2016)
Kidachi
- Sommige Japanners vinden de ‘gevaarlijke’ reuzenhoornaar schattig, inspirerend en zelfs heerlijk. (“Baadhi ya Wajapani wanawapenda wadudu, wanawachukulia kuwa watamu.” ilichapishwa mwaka 2016)
Farsi
- فیلمی که تجارت سکس کودکان را در ماداگاسکار افشا کرده است. (“Filamu yaanika biashara ya ngono kwa watoto nchini Madagaska,” ilichapishwa awali mwaka 2013)
Ufaransa
- Nelson Mandela : 17 citations à se remémorer pour apprécier sa sagesse (“Hekima 17 za Nelson Mandela Zinazofaa Kusomwa na Kila Mmoja,” ilichapishwa mwaka 2013)
Ujerumani
- Israel, eines der trockensten Länder der Welt, hat nun Wasser im Überfluss (“Israel, moja ya nchi kame zaidi duniani, sasa inatiririka na maji,” ilichapishwa mwaka 2016)
Ugiriki
- 17 σοφές φράσεις του Νέλσον Μαντέλα που όλοι πρέπει να διαβάσουν (“Hekima 17 za Nelson Mandela Zinazofaa Kusomwa na Kila Mmoja,” ilichapishwa mwaka 2013)
Hindi
- जापान: समुच्चय आंधी जानकारी पर ओपन स्ट्रीट मैप (मुक्त सड़क नक्शे) (“Japan: OpenStreetMap yakusanya habari za pepo za baharini,” ilichapishwa awali mwaka 2013)
Kiindonesia
- Apakah Taiwan Sebuah Negara, Pulau Merdeka, Wilayah yang Memisahkan Diri, atau Sebuah Provinsi di Tiongkok? (“Je, Taiwan ni nchi, kisiwa kilichojitawala, au jimbo la China?” ilichapishwa awali mwaka 2016)
Italia
- America Latina: la piaga del lavoro minorile (“Latin Amerika: Tatizo la ajira kwa watoto -sehemu ya I,” The problem of child labor – part I,” originally published in 2009)
kijapani
- シンガポールは、都市か、国か?(“Singapore: Huu ni mji au nchi?” imechapishwa mwaka 2009)
Kikudi
- عێراقیەکان داوا لە حکومەت دەکەن یارمەتی ماڵی ھەتیوانی لەسەر ھونەر دامەزراو بدەن (“Raia wa Iraqi wawaimba serikali isaidie vituo vya yatima,” imechapishwa awali mwaka 2017)
Macedonia
- Индонезија: Земјотрес, цунами и вулканска ерупција во 48 часа (“Indonesia: Tetemeko, tsunami, mlipuko wa volkano ndani ya masaa 48,” imechapishwa awali mwaka 2010)
Malagasy
- Dôsie Tafaporitsaka Mampiseho Fa Sary Miboridana No Takalon'ny Vola Indramin'ny Tovovavy Ao Shina (“Namna watoa mikopo matapeli wanavyowalazimisha wadaiwa wao wa kike kupiga picha za uchi,” imechapishwa awali mwaka 2016)
Nepali
- फोहरमैलामा लुकेका रसियाली कथाहरू (“Warusi wapata simulizi nyuma ya picha za uozo,”ilichapishwa awali mwaka 2016)
Polish
- Nastoletnia raperka z Afganistanu uniknęła małżeństwa dzięki swoim piosenkom (“Rapa wa ki-Afghan amekimbia ndoa ya utotoni kwa kuimba kuhusu ukio hilo,” ilichapishwa awali mwaka 2015)
Kireno
- Um ritual de proteção para “fechar o corpo” liga tradições religiosas diferentes no Brasil (“Kutunza mila ya ‘kuziba matundu’ yaunganisha tamaduni tofauti za dini tofauti nchini Brazili,” imechapishwa awali mwaka 2016)
Punjabi
- Global Voices ਪੰਜਾਬੀ ਵਿੱਚ · ਗਲੋਬਲ ਵੁਆਇਸਿਸ ਕੀ ਹੈ ? (“Global Voices ni nini?)
Romanian
- 14 filme interzise în Iran din 2007 (“Filamu 14 ambazo zimefungiwa nchini Irani tangu mwaka 2007,” ilichapishwa awali mwaka 2015)
Russian
- 10 африканских блюд, которые каждый должен попробовать (“vyakula 10 kutoka Kusini mwa Jangwa la sahara ambavyo kila mtu anahitaji kuvijaribu,” ilichapishwa awali mwaka 2014)
Serbian
- Malezija: Uputstva roditeljima o tome kako prepoznati homoseksualce i lezbejke (“Malaysia: Mwongozo wa malezi wa namna ya kumbaini shoga au msagaji,” ilichapishwa mwaka 2012)
Spanish
- “Peppa Pig” se ha vuelto demasiado desobediente para la censura china (“‘Peppa Pig’ imeenda mbali kwenye ufuatiliaji nchini China”)
Swahili
Urdu
- افغانستان کی ان دیکھی تصاویر (“Kutuma picha za Afghanistani ambazo si rahisi kuziona,” ilichapishwa awali mwaka 2012)