· Mei, 2009

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Mei, 2009

Uchaguzi Malawi: Utabiri wa Wataalamu wa Mambo Wageuka Batili

  29 Mei 2009

Wakati uchaguzi umekwisha na rais aliye madarakani Bingu wa Mutharika ameshaapishwa kwa muhula wake wa pili na wa mwisho, wanablogu wa Malawi (mabloga) bado wanashangaa kuona maendeleo kinyume na utabiri wa wengi, haswa ule watalaamu wa mambo. Utabiri wa kwanza ulikuwa kwamba ushindani ungelikuwa wa karibu sana. Haukuwa. Pili kulikuwa...