Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Agosti, 2015
Kutana na Wanadamu wa Kibera, Makazi ya ‘Uswahili’ zaidi Barani Afrika
The story, in pictures, of the lives and challenges of residents of Africa's largest urban slum.
Unataka Kuuona Mji Huru wa Kwanza wa Kiafrika Barani Amerika? Nenda nchini Mexico
Waafrika-Wa-Kimexicowanajivunia kuwa sehemu ya simulizi ya “El Yanga,” aliyejulikana dhahiri kama Mfalme aliyekuwa mateka kutoka katika kabila la Yang-Bara la Gabon, ambaye aliwasaidia watumwa kupata uhuru kutoka kwa Waspaniola kwenye miaka ya 1570.