Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Machi, 2013
Ramani za Mpaka wa Kikoloni wa Sudan Kusini Ziko Wapi?
Joseph Edward anazungumzia kupotea kwa ramani za mpaka wa Sudan Kusini za enzi za ukoloni: “Majadiliano yameibuka kuhusu ramani ambazo zilidaiwa kuchukuliwa na Waingereza baada ya Sudan kupata uhuru mnamo...
Umoja wa Afrika na “busara” ya mashaka kuhusu Kenya
Collins Mbalo anachambua kuona kama Umoja wa Afrika na COMESA/IGAD walikosa busara katika kusaili utayari wa Kenya kufanya uchaguzi wa amani #choice2013.
Wa-Mauritania Wapinga Udhalilishaji wa Viwanja vya Tahrir Square
Siku ya Jumanne Februari 12, 2013, kikundi cha wanaharakati wa ki-Mauritania kiliandaa [ar] maandamano mbele ya Ubalozi wa Misri jijini Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania, kupinga udhalilishaji wa kijinsia na ubakaji...