Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Mei, 2019
Benin Yashuhudia Kuzimwa kwa Mtandao Siku ya Uchaguzi
Mtandao kufungwa ambapo ulifunguliwa usiku, ukiwaacha wapiga kura gizani siku ya uchaguzi.
Mshindani wa Msumbiji Ashinda Mashindano ya Kimataifa ya Kutunisha Misuli nchini Hong Kong
Saraiva ni mtu mashuhuri kwa kutunisha misuli nchini Msumbiji.
Bloga wa Ki-Mauritania Akwepa Adhabu ya Kifo, Lakini Amebaki Kifungoni
Ould Mkhaitir alishtakiwa kwa kuandika makala iliyokuwa ikiikosoa wajibu wa dini katika mfumo wa kidini wa Mauritania.