· Aprili, 2010

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Aprili, 2010

South Africa: Mauaji ya kiongozi wa Afrikaner Resistance Movement

  12 Aprili 2010

Usiku wa Tarehe 3, Aprili 2010, kiongozi wa kundi la watetezi wa Waafrika Kusini wenye asili ya Udachi (Afrikaans Weerstandsbeweging (AWB), au Afrikaner Resistance Movement), Eugene Terre'Blanche, aliuawa. Je raia wa dijitali wana nini cha kusema kuhusu kifo chake na mustakabali wa mahusiano baina ya watu wa rangi tofauti nchini Afrika kusini?