Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Novemba, 2016
Kutana na Nabii Nchini Afrika Kusini Anayetumia Sumu ya Wadudu Kuponya
"Doom ndio jibu mabibi na mabwana hebu tuinamishe vichwa na tuombe."
Serikali ya Ethiopia Yamshikilia Mwanablogu wa Zone9 Befeqadu Hailu kwa Kigezo cha ‘Hali ya Hatari’
Hailu alitarifiwa kuwa kukamatwa kwake kulisababishwa na mahojiano aliyoyafanya na Idhaa ya Amerika katika lugha ya Kiamfariki kuhusu hali ya hatari iliyotangazwa nchini Ethiopia.
Tukio Mubashara la Facebook Kukuza Amani na Kupambana na Kauli za Chuki Nchini Kenya
DW Akademie inaandaa tukio la kujadili mikakati ya kupambana na kauli za chuki nchini Kenya kuelekewa kwenye uchaguzi mkuu mwakani.
Picha Iliyokuwa Kichekesho Yageuka kuwa Kampeni Kubwa ya Kuwachangia Watoto Nchini Ghana
"Kumekuwa na masimulizi mengi ya namna uchangishaji unavyoweza kutatua changamoto nyingi. Lakini inasisimua kuona ujumbe hasi na wa kuchekesha inavyogeuka kuwa simulizi zuri..."
Hofu ya Mkono wa Sheria? Kujitafutia Uhuru? Raia wa Gambia Wahoji Nchi yao Kujiondoa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai
"Kikwazo!! #Gambia yajiondoa ICC. Hii ni kutokana na hofu ya dikteta kwamba waziri wake wa ndani wa zamani atamponza katika kupata hifadhi"