Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

· Mei, 2017

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Mei, 2017

15 Mei 2017

Rais wa Tanzania Afukuza Watumishi 10,000 Kwa Madai ya Kughushi Vyeti

Uamuzi huo ni sehemu ya nia ya Rais John Magufuli kufanya mabadiliko kwenye utumishi wa umma.

6 Mei 2017

Ajali ya Basi Yaua Makumi ya Watoto Kaskazini mwa Tanzania

Nchi hiyo ya Afrika Mashariki ina idadi kubwa ya ajali za barabarani barani Afrika.