Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Mei, 2010
Msumbiji: Kasheshe la Misaada
Nchi wafadhili zilisitisha kwa muda msaada wa bajeti kwa serikali ya Msumbiji kutokana na hofu za rushwa, na kuwasha cheche za uchambuzi na mjadala kuhusu misaada, rushwa na utawala.