Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Machi, 2021
Kubadilika kwa Utawala Nchini Tanzania: Kutoka Rais Magufuli mpaka Rais Hassan
Kwa baadhi, Magufuli anakumbukwa kama "Mwana wa Afrika kweli kweli" mpigania haki za wa-Afrika aliyetanguliza maslahi ya Afrika mbele. Wengine wanamkumbuka kama Rais 'mpenda umaarufu" aliyepigania uzalendo — kuliko kingine chochote.