Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Aprili, 2018
Serikali ya Uganda Yapanga Kutoza Kodi Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii kwa Kuendekeza Umbea
Uganda inataka kufaidika mahali ambapo haijawekeza. Wamiliki wa mitandao ya kijamii hutoa huduma bila kutoza kodi, wewe unataka walipe kodi?
Je, WanaBlogu wa Tanzania Wataridhia Kulipa au Watagomea ‘Kodi ya Blogu'?
Nchini Tanzania, ambapo kihistoria, vyombo vya habari vimekuwa na ukaribu mkubwa na maslahi ya serikali, kublogu kulifungua uwezekano wa watu binafsi kuanzisha majukwaa binafsi ya kupasha habari ambayo yameonekana kuwa na nguvu sana.