· Februari, 2022

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Februari, 2022

Je Sera ya Lugha Tanzania inabagua lugha za asili?

The Bridge  11 Februari 2022

Kuna takribani lugha 150 nchini Tanzania, lakini lugha ya Kisawhili imepewa upendeleo mkubwa, hasa katika muktadha wa elimu ya msingi. Wanazuoni Hannah Gibson (Chuo Kikuu cha Essex) na Gastor Mapunda (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) wanatoa maoni yao kwa ufupi kuhusu hali hii kwa kutumia matokeo ya utafiti unaochunguza...