Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Aprili, 2016
Sheria ya Makosa ya Mtandao Tanzania Inafanya Iwe Hatari ‘Kumtukana’ Rais Kwenye Mtandao wa Facebook

Mtumiaji wa mtandao nchini Tanzania Isaac Habakuk Emily anatuhumiwa kuchapisha ujumbe wenye utata kwenye mtandao wa Facebook 'akimtukana' rais wa Tanzania
Zoezi la Upigaji Kura Mtandaoni kwa Tuzo za Blogu za Kenya 2016 Laendelea
Tuzo za Blogu Kenya zinakusudia kuwatambua na kuwatuza wanablogu mahiri wa ki-Kenya.
Hivyo Ndivyo Afrika Ilivyo-Twiti Mwaka 2015
Naijeria, Afrika Kusini, Ethiopia, Burundi na Misri zilikuwa na mazungumzo makali zaidi ya kisiasa kwenye mtandao wa Twita.
Liberia Kukabidhi Elimu ya Msingi kwa Mwekezaji Binafsi wa Kimarekani
"Kuzifikiria shule kama sehemu tu ya kujifunza kusoma yaweza kuwa wazo la manufaa katika nchi ambayo watoto wake wengi hawawezi kufikia angalau hatua hiyo."
Yafanyike Mashambulizi Mangapi Dhidi ya Watalii Ili Afrika Magharibi Iandae Mkakati wa Pamoja wa Kikanda?

"Hatari haipo mbali kama tunavyoweza kufikiri. . . . Na pia, mashambulizi yana nafasi ndogo sana kuhusu amani ya ndani au uhusiano kati ya makundi ya kidini."