Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Agosti, 2013
Zimbabwe: Robert Mugabe Ashinda Uchaguzi, Atuhumiwa Kuiba Kura
Daftari la wapiga kura la Zimbabwe lilisemekana kuwa na watu milioni mbili waliokufa. Botswana imetoa wito wa kukaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi.