Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Agosti, 2008
Angola, Brazil: Mshituko na Utengano wa Kitamaduni
Mahusiano maalum kati ya Angola na Brazili yanamaanisha kwamba biashara kati ya makoloni haya mawili ya zamani ya Ureno inashamiri - kadhalika uhamiaji kutoka pande zote za Atlantiki. Lakini, ni vipi hawa watoto wawili wanavyoishi? Ujumbe huu unatoa mitazamo ya wote, kutoka kwa bloga wa Kiangola na wa Kibrazili waishio Luanda.
Arabeyes: Rais wa Mauritania Aliyepinduliwa Katika mapinduzi ya Kijeshi
MAKAMANDA wa jeshi wamemuondoa madarakani Rais Sidi Ould Cheikh Abdallahi, rais wa kwanza kuchaguliwa katika uchaguzi huru katika miongo miwili, katika mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa Jumatano iliyopita baada ya mtafaruku...
Angola: Kuelekea Uchaguzi Unaosubiriwa Kwa Muda Mrefu
Ni chini ya chini ya mwezi mmoja kwa Angola kabla ya kuingia zoezi linalosubiriwa zaidi katika aya za historia yake. Miaka kumi na sita baada ya uchaguzi wake wa mwisho,...
Msumbiji: 2038?
Msumbiji itakuwaje katika miaka 30 ijayo? Mwana sosiolojia Carlos Serra [pt] anatoa mitizamamo tisa ya falme zilizokufa za Kirumi yaani (Byzantine) na anawakaribisha wasomaji wake kurekebisha mitizamo hivyo kwa kadri...