· Disemba, 2013

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Disemba, 2013

Mandela na Mao, Hawakushabihiana sana.

  19 Disemba 2013

Jeremiah kutoka katika studio ya Granite atoa maoni yake kwenye Televisheni ya Taifa ya China, CCTV akitaka kuonesha uhusiano uliokuwepo kati ya Mandela na Mao Zedong: Mandela hakushabihiana sana na Mao. Mao alikuwa muumini wa udhanifu kama tafsiri ya neno linavyotanabaisha, mtu aliyeamini kuwa, mchakato wa utendaji wa jambo ndilo...

Soka pekee huigawa Tanzania

The Bridge  10 Disemba 2013

Tanzania inajivunia umoja wake wa kikabila na kidini. Lakini siku watani wa jadi wa Dar es Salaam, hisia za mgawanyiko huwa bayana baina ya mashabiki

“Mimi ni Mchuuzi Mjerumani Mjini Dakar”

  10 Disemba 2013

Muda mfupi baada ya kuwasili kwangu Senegal, nilikutana na kijana. Alinieleza hamu yake ya kuondoka Senegal katika mkutano wetu wa kwanza. Nilitaka kuelewa yaliyosababisha hamu yake ya kuondoka na hali ya maisha yake ya kila siku ili nipate kufahamu maelezo ya kijamii na ya kiutamaduni ya kutaka kwake kuondoka. Alikuwa...

Wanafunzi 3,000 Wafanya Maandamano dhidi ya Mageuzi ya Elimu Nchini Gabon

  9 Disemba 2013

Mageuzi ya mfumo wa elimu yaliahirishwa [fr] nchini Gabon baada ya walimu na wanafunzi kuandamana pamoja kwa maandamano. Katika mapendekezo ya mageuzi, mitihani ya mwisho ili kupata diploma ya shule ya sekondari itafanyika katika duru moja badala ya mbili na kuingia katika shule ya sekondari zitafanyiwa mtihani wa mwisho badala...

Wanaijeria Wamkumbuka Nelson Mandela

  9 Disemba 2013

Nelson Mandela, mzalendo mpendwa na mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel, amefariki Desemba 5, 2013. Wanaijeria wanakumbuka kumbumbuku iliyoachwa nyuma na Rais huyo wa kwanza wa Afrika Kusini