Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Agosti, 2017
Kupiga Marufuku Wasichana Waliozaa Kurejea Masomoni, Inaweza Isiwe Suluhisho la Mimba Mashuleni.
Rais John Magufuli amezionya asasi za kiraia nchini Tanzania kwa kuwatetea wasichana wanaopata ujauzito kurudi shuleni, akisema kwamba kufanya hivyo 'kutamomonyoa maadili' nchini Tanzania.
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kwenye Uchaguzi Mkuu Nchini Kenya Agosti 8
Baada ya kukosa marudio ya uchaguzi mwaka 2007 kwa uchaguzi wa amani wa 2013, "hali ya mambo inaonekana kuwa ya wasiwasi katika uchaguzi wa mwaka huu."