Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Januari, 2021
Nchini Tanzania, Serikali kukanusha uwepo wa UVIKO -19 kwawanyima wananchi taarifa muhimu za afya
Tangu mwezi Machi 2020, serikali ya Tanzania imenyamaza kuhusu virusi vya korona na hakuna takwimu zozote zinatolewa kuhusu maambukizi ya ugonjwa huo au vifo.