Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Februari, 2014
Nyumba ya Kiongozi wa Upinzani Nchini Zimbabwe, Tendai Biti Yalipuliwa Mara ya Pili
Biti ni katibu mkuu wa chama cha Upinzani cha MDC [Movement for Democratic Change], kinachoongozwa na Waziri Mkuu wa zamani Morgan Tsvangirai.
Sheria Mpya Uganda: Mashoga Sasa Kukabiliwa na Kifungo cha Maisha Jela
"Siwezi kuelewa wale wanaunga mkono Muswada wa Kupinga Ushoga! Huwezi kupandikiza maoni yako ya ujinsia kwa wengine. Hakuna aliyesema lazima uwe shoga!"