· Novemba, 2010

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Novemba, 2010

Ivory Coast: Wimbo Mpya Kwa Ajili Ya Uchaguzi wa Rais

  14 Novemba 2010

Museke imeweka video ya wimbo mpya “Mpiga Kura” ulioandikwa maalum kwa ajili ya uchaguzi wa rais nchini Ivory coast. Wimbo huo unachezwa na Le Griot-Guére, Jackivoire, Soro Solo, na gitaa la kuongoza linapigwa na mpiga gitaa gwiji kutoka Kongo, Huit-kilos.