· Machi, 2014

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Machi, 2014

Mlipuko wa Homa ya Ebola Waua Watu 59 Nchini Guinea

  26 Machi 2014

Mlipuko wa homa ya Ebola umeua watu wasiopungua 59 nchini Guinea na matukio kadhaa yanayohofiwa kuwa ya homa hiyo yamekaribia kwenye mjini mkuu Conakry hiyo ikimaanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kuenea kwenye mji mkuu wa Guinea. Barbara Krief anatoa taarifa za hivi karibuni [fr]: Au moins huit agents de santé...

Twiti ya kwanza kutoka kwa Rais wa Madagaska

  25 Machi 2014

Rais mteule wa Madagaska Hery Rajaonarimampianina amefungua akaunti yake ya mtandao wa twita mnamo tarehe 23 Machi, 2014. Hii ndiyo twiti yake ya kwanza :  Kuna uwezekano mkubwa kuwa hiyo ndiyo twiti maarufu kutoka kwa mkuu wa nchi. Ni Rupert Murdoch anaweza kuwa na wasiwasi na kiwango cha “ukubwa/umaarufu” wa...

Katika Kutetea Lugha za Malawi

  24 Machi 2014

Kufuatia uamuzi wa serikali ya Malawi kuanza kutumia Kiingereza kama lugha ya mawasiliano kuanzia darasa la kwanza, Steve Sharra anatetea lugha la asili na anajenga hoja yake katika kutetea matumizi ya lugha zaidi ya moja: Walimu na wahadhiri katika shule zetu za sekondari na vyuo vikuu wanashuhudia mwenendo wa mambo...

Uchambuzi zaidi Kuhusu Muswada wa Kupinga Ushoga Nchini Uganda

  18 Machi 2014

Kristoff Titeca anaangalia mbali zaidi ya sababu moja kuhusiana na muswada wa kupinga ushoga nchini Uganda: Pointi muhimu ni kuwa Rais Museveni hajawahi kuwa shabiki mkubwa wa muswada huu na badala yake amekuwa mtu wa kuutilia mashaka: alikuwa anafahamu matokeo mabaya kimataifa. Katika majibu yake ya wazi kwa mara ya...

Msichana Nchini Madagaska Ajiua Baada ya Picha Zake Kusambazwa Facebook

  16 Machi 2014

Koolsaina anaandika kwamba msichana mmoja wa ki-Malagasi alijiua [fr] baada ya picha zake kusambazwa kwenye ukurasa wa Facebook unaoonyesha picha za wasichana wa Madagaska bila ruhusa yao. Wito ulitolewa kwa utawala wa Facebook ulitolewa ili kuufunga ukursa huo. Mpaka leo (Machi 16, 2014), Koolsaina anasema ukurasa huo bado unapatikana.  

Shule 2,715 Kuunganishwa na Mtandao wa Intaneti Nairobi

  14 Machi 2014

Shule 2,715 jijini Nairobi, Kenya hivi karibuni zitaunganishwa na mtandao wa intaneti wa bure: Wanachi Group [kampuni] imefikia makubaliano ya kutekeleza mradi wa thamani ya Dola za Marekani milioni 3 (Takribani KSh milioni 270) na kaunti ya Nairobi, ili kuunganisha shule 2,715 jijini Nairobi na mtandao wa intaneti. Mradi huo...