· Machi, 2014

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Machi, 2014

Teknolojia ya Kiafrika: Mradi wa TechAfrique Watathmini Hatua Iliyofikiwa

  14 Machi 2014

 Le continent africain apparaît comme la nouvelle frontière mondiale du développement numérique. Ce développement provoque une nouvelle impulsion entrepreneuriale en Afrique, et notamment en Afrique francophone. Mais ce potentiel reste très largement méconnu en Europe ainsi qu'en France.  Bara la Afrika linaonekana kuwa kiongozi mpya wa dunia katika maendeleo ya kidijitali. Maendeleo haya yamesababisha kukua kwa ujasiria...

Machafuko Nchini Burundi kabla ya Uchaguzi wa Rais

  12 Machi 2014

Angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini Burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na rais Nkurunziza ambayo inaweza kumruhusu kugombea kwa awamu ya tatu. CNDD-FDD chama tawala na tawi lake la vijana ni watuhumiwa...

Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Kampeni ya Kony 2012

  12 Machi 2014

Machi 5, 2014 ni siku ambayo maandimisho ya miaka miwili ya kampeni ya KONY 2012 yalifanyika: Miaka miwili iliyopita tulianzisha kampeni inayoitwa KONY 2012. Ilikuwa ni jaribio la kuona kama dunia ilikuwa tayari kuungana na kuongea dhidi ya uhalifu wa kutishia usio onekana wa Joseph Kony na LRA. Ulimwengu ulikuwa...

Mwongozo wa Kilimo cha Uyoga Nchini Kenya

  7 Machi 2014

Huu ni mwongozo hatua kwa hatua wa kilimo cha uyoga nchini Kenya: Kutokana na mahitaji ya umma, sisi tulichukua mpango wa kuandaa mwongozo wa kusaidia wakulima wenye nia ya kuanzisha kilimo cha uyoga nchini Kenya Mchakato wa kilimo cha uyoga waweza kugawanywa katika hatua kadhaa zifuatazo 1.Maandalizi ya mbolea 2.kutawanya...

Pigia kura Blogu ya Kenya Uipendayo

  7 Machi 2014

Zoezi la upigaji kura limeanza kwa ajili ya Tuzo za Blogu nchini Kenya kwa mwaka 2014: Chama cha wanablogu wa Kenya (BAKE) hii leo [3 Machi 2013] kilizindua zoezi la kupendekeza majina ya wawaniaji wa tuzo hizo za wanablogu wa Kenya mwaka huu. Tuzo hizo hutolewa kwa wanablogu waandikao maudhui...