Machafuko Nchini Burundi kabla ya Uchaguzi wa Rais

Pierre Nkurunziza, President of Burund - Public domain

Pierre Nkurunziza, Rais wa Burundi – Picha ya Matumizi ya Umma

Angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini Burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na rais Nkurunziza ambayo inaweza kumruhusu kugombea kwa awamu ya tatu. CNDD-FDD chama tawala na tawi lake la vijana ni watuhumiwa wa kuvuruga mikutano ya upinzani na mauaji ya kiongozi mmoja wa upinzani. Kamishna wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu Navi anaonyesha wasiwasi juu ya hali hiyo :

Uchaguzi wa mwaka ujao utakuwa mtihani muhimu kwa nchi ya Burundi. Kuendelea kwa ghasia za kisiasa ni tishio kwa mchakato wa kidemokrasia katika nchi ambayo bado inarejea polepole kutoka kwa vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.