Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Mei, 2021
Mpango wa kutoa chanjo ya UVIKO-19 nchini Kenya waibua matabaka ya maskini na wasiojiweza
Wafanyabiashara na wanasiasa wanapata chanjo mapema wakati Wakenya masikini na wazee wakisimama kwenye foleni ndefu.