Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Oktoba, 2016
Taarifa Zaonesha Jinsi Wanasiasa wa Ghana Wanavyotumia Mitandao ya Kijamii Kuelekea Kwenye Uchaguzi
The second edition of the Governance Social Media Index assesses and ranks the presence of political parties, political party leaders and key election management bodies in Ghana on social media.
Rais wa Naijeria Asema Panapomfaa Mkewe ‘ni Jikoni’ na Kwenye ‘kile Chumba Kingine’
"Sijui mke wangu ni mfuasi wa chama gani cha siasa, lakini ninachojua mahali pake ni jikoni na kwenye kile chumba kingine" alisema rais.
Video ya Katuni Yafafanua Mamlaka ya Mahakama ya Kiafrika katika Kulinda Haki na Binadamu na Raia
Huna hakika mahakama hiyo hufanya kazi gani? Video hii inaweza kusaidia.
Vijana Wanaojifunza Mchezo wa Kuteleza Afrika Kusini Wafanya kama Filamu ya ‘Valley of a Thousand Hills’
Mchezo wa kuteleza hauna umaarufu sana nchini Afrika Kusini, hasa katika jamii za weusi. Kijana mmoja wa ki-Zulu anasema, "Tunajifunza kuteleza ili tuishi maisha mazuri yenye furaha"
Serikali ya Ethiopia Yazima Intaneti ya Simu za Mkononi na Mitandao ya Kijamii
Wale wanaoufuatilia mwenendo wa mambo wanahofia kuwa hatua hii inaweza kuwa dalili ya mwanzo wa hatari kwa maandamano hayo yaliyoendelea kwa miezi 12.
Nchini Tanzania, Kusema Msimamo Wako wa Kisiasa Mitandaoni Inazidi Kuwa Hatari
Tangu Rais John Magufuli ashinde uchaguzi wa Rais mwezi Oktoba 2015, watu 14 wameshakamatwa na kupandishwa kizimbani kwa kutumia mitandao ya kijamii kumtukana Rais