· Novemba, 2009

Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Novemba, 2009

Malawi: Rais Ataka Nguvu Zaidi

  25 Novemba 2009

Rais wa Malawi ataka nguvu zaidi!: “rais wa Malawi Bingu wa Mutharika, ambaye chama chake kina wabunge wengi katika bunge, anataka kunonesha nguvu zake kabla hajatoka kwenye ulingo wa siasa...

Afya Duniani: Siku ya Vyoo Duniani Yatoa Harufu

  25 Novemba 2009

Ingawa inaweza kusikika kama masihara, Siku ya Vyoo Duniani inatilia maanani kwenye suala ambalo si la mzaha linalowakwaza karibu nusu ya watu wote duniani – ukosefu wa vyoo na mfumo wa usafi.

Afrika: Haki za Wanawake

  23 Novemba 2009

Sokari anaandika kuhusu Toleo Maalum la Masuala ya Wanawake la Pambazuka linaloangalia miaka 15 iliyopita tangu mkutano au Jukwaa la Vitendo mjini Beijing pamoja na mustakabali wa haki za wanawake...

Karibea: Tuzo za Fasihi ya Kifaransa

  16 Novemba 2009

Wiki hii, waandishi wawili wenye asili ya Kiafrika wanaoandika kwa Kifaransa walipewa tuzo mbili zenye kuheshimika sana katika fasihi ya Kifaransa: Ulimwengu wa blogu za wanaozungumza Kifaransa katika Karibea umekuwa...

Uganda: Ugonjwa wa Panzi Waota Mizizi

  13 Novemba 2009

Wanasiasa wa Uganda wanakuwa kama panzi: “kufuatia hali ya kufikia kikomo kwa tawala nyingi za kiimla, Museveni na washirika wake katika ukaliaji wa mabavu wa Buganda kwa kutumia silaha wanaanza...

Naijeria: Wanablogu Wajadili Sifa Mbaya ya Naijeria

  11 Novemba 2009

Inajulikana vyema kuwa Naijeria ina tatizo la muonekano – utapeli wa 419 kwenye intaneti, rushwa, uharamia wa mafuta katika jimbo la Delata – kwa watu wengi, huu ndio uhusiano unaokuja akilini wakati nchi yenye watu wengi zaidi Afrika inapotajwa.