Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Kampeni ya Kony 2012

Machi 5, 2014 ni siku ambayo maandimisho ya miaka miwili ya kampeni ya KONY 2012 yalifanyika:

Miaka miwili iliyopita tulianzisha kampeni inayoitwa KONY 2012. Ilikuwa ni jaribio la kuona kama dunia ilikuwa tayari kuungana na kuongea dhidi ya uhalifu wa kutishia usio onekana wa Joseph Kony na LRA.

Ulimwengu ulikuwa pamoja kumfanya Kony kuwa maarufu na kuweka suala la unyanyasaji la LRA juu ya meza ya umaarufu na maslahi ya kisiasa. Moja ya kipengele cha kampeni ilikuwa kutoa wito kwa watunga sera kufanya kazi katika shughuli zao za ushawishi kusimama imara kupinga askari watoto wanaotumiwa na Kony. Wewe uliongoza viongozi wetu kuchukua hatua ambayo ilisababisha matokeo yanayoonekana. Kama sehemu ya maadhimisho yetu, tumeamua kuwashukuru wanasiasa waliotoa zawadi kwa haki kwa namna ya msaada wao wa KONY 2012.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.