Habari kutoka 12 Machi 2014
Je, Afrika Kusini ni ‘Nchi Iliyokwama'? Ndivyo Alan Dershorwitz Anavyofikiri
Mwanasheria wa Kimarekani na mchambuzi wa mambo ya kisiasa Alan Dershorwitz amewatia hasira Waafrika Kusini kwa kuielezea nchi yao kuwa ni 'nchi iliyokwama' katika mahojiano alyoyafanya na Piers Morgan.
Ukuta Wetu wa Berlin Nchini Syria
"Wanafunzi wa Syria kwa mustakabali bora" ni blogu ya wnafunzi wa Syria wanaofadhiliwa, ambao wanaitumia kujadili matumaini yao, kukumbuka nyumbani, wasiwasi, mashaka, mitazamo chanya na matumaini kwa Syria iliyo bora.
Machafuko Nchini Burundi kabla ya Uchaguzi wa Rais
Angalau kumekuwa na makala 19 ya matukio ya vurugu tangu mwanzo wa 2014 nchini Burundi kabla ya uchaguzi wa rais vituo vya machafuko juu ya marekebisho ya katiba iliyopendekezwa na...
Maadhimisho ya Miaka Miwili ya Kampeni ya Kony 2012
Machi 5, 2014 ni siku ambayo maandimisho ya miaka miwili ya kampeni ya KONY 2012 yalifanyika: Miaka miwili iliyopita tulianzisha kampeni inayoitwa KONY 2012. Ilikuwa ni jaribio la kuona kama...