· Aprili, 2015

Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Aprili, 2015

Timu ya Uokoaji ya Mexico Yaomba Michango Iende Kusaidia Nepal

  28 Aprili 2015

Urgen donativos para 25 rescatistas paypal:donativos@brigada-rescate-topos.org CLABE Santander:01418092000709294 tel.5554160417 #ToposANepal — Topos México (@topos) April 27, 2015 Michango inahitajika mara moja kwa waokoaji 25 kwa njia ya paypal: donativos@brigada-rescate-topos.org CLABE Santander:01418092000709294 simu.5554160417 #ToposANepal (Topos to Nepal) Kikosi cha Uokoaji Topos México Tlatelolco kimeanza kampeni ya kuomba michango ili kuweza kuungana na jitihada...

Je, Blogu Zinaelekea Kutoweka?

  25 Aprili 2015

Makala haya ni sehemu ya 46 ya #LunesDeBlogsGV (#JumatatuYaBloguGlobalVoices) siku ya Machi 23, 2015. Kwenye #LunesDeBlogsGV (#JumatatuyaBloguGlobalVoices), tunajitahidi kuzitunza blogu mithili ya “viumbe wanaoelekea kutoweka”, kwa kushughulikia changamto zinazokabili uwepo wa blogu kwenye ulimwengu wa kidijitali. Jitihada kama hizi zinamfanya mwanablogu Iván Lasso kuchambua mustakabali wa kublogu na matatizo yanayowakabili wanablogu leo,...

Kulinda Taarifa Binafsi Nchini Ajentina Bado Kuna Safari Ndefu

GV Utetezi  22 Aprili 2015

Kwenye makala iliyoandikwa kwa ajili ya gazeti la mtandaoni Haki za Kidijitali: Amerika Kusini & Visiwa vya Caribbean, No.21, Mmwanasheria wa ki-Ajentina Valeria Milanés anaeleza kwamba hata kama Marekani ni kiranja wa dunia kwenye kuchakata taarifa (data), bado haina sheria ya kulinda taarifa za watu. Marekani pia inachukuliwa kama nchi yenye “kiwango...