Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Machi, 2021
Kubadilika kwa Utawala Nchini Tanzania: Kutoka Rais Magufuli mpaka Rais Hassan
Kwa baadhi, Magufuli anakumbukwa kama "Mwana wa Afrika kweli kweli" mpigania haki za wa-Afrika aliyetanguliza maslahi ya Afrika mbele. Wengine wanamkumbuka kama Rais 'mpenda umaarufu" aliyepigania uzalendo — kuliko kingine chochote.
TAZAMA: Mazungumzo na Jillian C. York kuhusu kitabu chake kijacho “Silicon Values”
Ulikosa kipindi mubashara cha Global Voices Insights tulipozungumza na mwandishi na mwanaharakati Jillian C. York? Sikiliza marudio hapa.
MUBASHARA mnamo Februari 10: Mazungumzo na Jillian C. York kuhusu kitabu chake kijacho “Silicon Values”
"Nani ana nguvu ya kuamua kitu gani kionekani na kipi kisionekane kwenye mtandao?"