Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Septemba, 2015
Ni Zaidi ya Wanablogu wa Zone9: Wa-Ethiopia Wengine Watumiao Intaneti Wakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi
Sambamba na kesi maarufu sasa ya wablogu wa Zone9, kuna wanablogu, wanaharakati wa mtandaoni na wanasiasa wengine wengi wa ki-Ethiopia waliowekwa ndani ingawa majina yao bado hayajatajwa. Mwaka uliopita mnamo Julai...
Kilichotokea Mbwa ‘Mjamzito’ Alipozikwa Hai huko Voronezh
Serikali ya mtaa iliposhindwa kujibu ombi la msaada, watu kadhaa waliamua kujichukulia hatua, kuondoa matofali na kuchimba kumwokoa mbwa huyo aliyekuwa amebanwa.
Hivi Ndivyo Chechen Inavyokabiliana na Kundi la ISIS
Video ya Kadyrov ikiwaonesha wanaume wa Chechen waliokamatwa kwa kushawishi watu kupitia mitandao ya kijamii ili wajiunge na kundi la ISIS, na wazee wanaoonekana wakiwakaripia ni ndugu zao pamoja na viongozi wa eneo wanaloishi wanaume hao
Fuatilia Uchanguzi wa Kihistoria Kuwahi Kutokea Nchini Tanzania
"Lowassa ni Robin Hood wa Kimasai. Au El Chapo wa Kitanzania. Itazame mikono aishikayo na siyo vidole avikanyagavyo."