Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Novemba, 2014
Hospitali Nyingi Nchini Guinea Zafungwa kwa sababu ya Virusi vya Ebola
Due to detection of new cases of Ebola, entire departments of national hospitals of Conakry have now been closed .
Video: Mwanasheria wa Swaziland Aliyefungwa Jela Azungumza Kupitia Wanaharakati wa Haki za Binadamu
#swazijustice ni kampeni inayotoa wito wa kuachiliwa huru kwa Bheki Makhubu, mhariri wa gazeti la Taifa na Thulani Maseko, mwanasheria wa haki za binadamu, ambao walifungwa jela nchini Swaziland kwa...
Kupambana na Utapiamlo Nchini Rwanda Kupitia Muziki
Wanamuziki maarufu wa Rwanda King James, Miss Jojo, Riderman, Tom Close, and Urban Boyz walijiunga na mapambano dhidi ya utapiamlo nchini Rwanda kupitia video ya muziki kwenye mtandao wa YouTube....
Shiriki Zoezi la Kujifunza Lugha za Asili Mtandaoni
Badala ya zoezi la kuweka mabonge ya barafu vichwani mwao, watetezi hawa wa lugha wamekubali kushiriki zoezi la lugha za asili kwa njia ya video
Waandamanaji Wavamia Ukumbi wa Sinema na Kusema ‘Hunger Games’ Inaendelea Nchini Thailand
Wanafunzi wa ki-Thai jijini London waliandamana nje ya ukumbi uliokuwa unaonesha filamu maarufu ya "The Hunger Games," wakitaka masuala yanayotishia demokrasi nchini mwao yamwulikwe.
Kuelimisha Wasichana Leo, Kuwawezesha Wanawake Kesho
Marita Seara, anayeblogu kwenye Voces Visibles (Sauti Zinazoonekana), anatukaribisha kutafakari suala la ubaguzi unaowaathiri wasichana na vijana wanaopevuka —kupata elimu– na hitaji ya kuwaelimisha wasichana wetu leo ili waweze kuwa...
Kufanyiwa Kazi na Faida za Matokeo ya Utafiti, Tafiti za Vyuo Vikuu Zina Tija?
Mawazo ikiwa umma wa wananchi unathamini tafiti zinazofanywa na vyuo vikuu, yamewachokoza mwanazuoni César Viloria kutoa mwangaza kidogo kuhusu suala hili kwenye blogu yake. Kuhusu utafiti, lazima tufahamu kwamba kuna...
Shindano la Insha GV: Namna Gani Sera za Intaneti Zinaathiri Jamii Yako?
Mradi wa Global Voices Advox unakaribisha wanajumuiya na washirika wengine kutuma insha zinazoeleza madhara ya sera za Intaneti katika jamii za mahali mbalimbali duniani.
Siasa za Afya ya Rais Nchini Zambia
Ajong Mbapndah wa Pan African Vision anazungumza na Gershom Ndhlovu kuhusu siasa zinazozunguka ugonjwa na kifo cha Rais wa Zambia Michael Sata: Rais Michael Sata siku za hivi karibuni amefariki...