· Agosti, 2013

Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Agosti, 2013

China: Kisasi au Haki?

  19 Agosti 2013

Kashfa ya ngono ya hivi majuzi inayowahusisha majaji wawili maarufu wa Shanghai iliwekwa hadharani na mfanyabiashara Ni Peiguo anayeamini kuwa mmoja wa majaji hakutoa hukumu ya haki katika kesi ya kampuni anayohusika nayo. Alichukua uamuzi...