Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Agosti, 2017
Kupiga Marufuku Wasichana Waliozaa Kurejea Masomoni, Inaweza Isiwe Suluhisho la Mimba Mashuleni.
Rais John Magufuli amezionya asasi za kiraia nchini Tanzania kwa kuwatetea wasichana wanaopata ujauzito kurudi shuleni, akisema kwamba kufanya hivyo 'kutamomonyoa maadili' nchini Tanzania.
Mchora Vibonzo vya Kisiasa Nchini Malaysia Zunar Aishitaki Polisi Kwa Kumkamata Kinyume cha Sheria na Kushikilia Vitabu
"You can ban my books, you can ban my cartoons, but you cannot ban my mind. I will keep drawing until the last drop of my ink."
Mkimbizi na Mchora Vibonzo wa Korea Kaskazini Achora Kuhusu Maisha Yalivyo Kwa Watu Wanaotoroka
Akiwa mtoto, walimu walimsifu Choi Seong-guk kwa michoro yake ya wanajeshi wa Kimarekani ambapo anasema aliwafanya waonekane "wabaya na wakatili kadri ilivyowezekana."
Jiandikishe Sasa kwa Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017: Desemba 2-3 Jijini Colombo, Sri Lanka!
Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017 umefunguliwa kwa ajili ya uandikishaji! Ungana nasi jijini Colombo kujadili hali ya uhuru wa mtandao, harakati za kiraia mtandaoni na haki kwenye zama za kidijitali.
Mamlaka ya Habari ya Thailand Yaufungia Mtandao wa TV Uliomwita Kiongozi wa Junta Dikteta
"Amri hiyo inakiadhibu kituo chote ikiwa ni pamoja na vipindi vyote bila kujali maudhui yake, na watu wote bila kujali majukumu yao."
Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza wa Jamaica Astaafu Akisifiwa, Akikoselewa — na Mjadala wa Nani Atakuwa Mrithi Wake
"Portia Simpson aliingia kwenye siasa za uwakilishi kwa ngazi ya bunge mwaka 1976 ambapo siasa na ukabila na ghasia zilikuwa na nafasi kubwa."
Mwandishi wa Habari wa Thailand na Wakosoaji Dhidi ya Serikali ya Kijeshi Wakabiliwa na Makosa ya Uchochezi Kupitia Facebook
"Nitaendelea kuikosoa serikali batili ya kijeshi hadi watakaponinyang'anya simu janja yangu."
Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kwenye Uchaguzi Mkuu Nchini Kenya Agosti 8
Baada ya kukosa marudio ya uchaguzi mwaka 2007 kwa uchaguzi wa amani wa 2013, "hali ya mambo inaonekana kuwa ya wasiwasi katika uchaguzi wa mwaka huu."