Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Julai, 2020
Waandishi wa habari wanawake nchini Uganda wanabeba ‘mzigo maradufu’ kutokana na mashambulizi ya mtandaoni pamoja na udhalilishaji
Waandishi wa habari wanawake nchini Uganda wanaubeba mzigo maradufu wa dhuluma inayotokana na jinsia mtandaoni ikiwa ni pamoja na vitisho vinavyohusiana na kuripoti taarifa za kisiasa. Vitisho hivi vinavyoendelea vimesababisha waandishi wa habari wanawake kujiondoa kwenye nyuga za umma.