· Agosti, 2020

Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Agosti, 2020

Iran, Kama Inavyoelezewa na Kuandikwa na Waandishi wa Habari wa Ki-Irani

7 Agosti 2020

Muanzishaji mwenza wa Global Voices  Ethan Zuckerman amewaelezea kuwa “mfano wa daraja” watu ambao wanapenda kuelezea utamaduni wa nyumbani kwao kwa watu wanaotoka katika jamii nyingine. Wazo hiki lilitengenezwa kupitia mfumo ulioota mizizi ndani ya Global voices na unaelezea kazi kubwa na utamaduni wa jamii.  Kwa kuwa kazi yetu imelenga...