· Septemba, 2014

Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Septemba, 2014

Tamasha la Kwanza la ” Africa Web Festival” Litafanyika Jijini Abidjan, Côte d'Ivoire

30 Septemba 2014

Tamasha la kwanza la Africa Web Festival litafanyika jijini Abidjan, Côte D'Ivoire (Novemba 24-26).  Tamasha hilo litawapa fursa wabunifu wa Afrika kushiriki kwenye mashindano (zoezi la kujiandikisha liko wazi mpaka Oktoba 12) Vous êtes journalistes, développeurs, producteurs de web tv, de web radio ; vous êtes créateurs et innovateurs et avez une idée...

Kolombia: Hapana kwa Utalii wa Ngono Mjini Medellín

  30 Septemba 2014

Kufikia katikati mwa mwezi Julai 2014, ukurasa wa Facebook Hapana kwa utalii wa ngono ulianzishwa, kwa lengo la kukuza uelewa kuhusu utalii wa ngono nchini Kolombia. Wikipedia inatafsiri dhana hiyo: … una forma de turismo con el propósito de mantener relaciones sexuales, normalmente de varones con prostitutas hembras, pero también,...

Tafakari ya Suala la Kuoa Nje ya Tabaka lako Nchini India

  29 Septemba 2014

Karthik Shashidhar, mshauri huru wa utawala na mwanasayansi wa takwimu, anaonesha takwimu kutoka kwenye utafiti wa kitaifa wa Afya ya Familia. Shashidhar anajadili idadi ya wanawake nchini India ambao wameolewa na watu wenye tabia lao wenyewe.Mfumo wa kimatabaka wa kihindi nchini India unaongozwa na amri ya makundi ya makundi ya kuoana...