Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Aprili, 2021
TAZAMA/SIKILIZA: Kupambana na miiko inayozuia utoaji mimba
Ulikosa matangazo mubashara ya kipindi cha Global Voices Insights cha Aprili 7 kuhusiana na masuala ya haki za kutoa mimba katika nchi tano? Tunakirudia hapa.
Baada ya Magufuli, Tanzania itarekebisha sheria kandamizi za maudhui ya mtandaoni?
Kanuni za maudhui ya mtandaoni nchini Tanzania zinatumiwa kuminya na kubana haki za matumizi ya mtandao na uhuru wa kujieleza. Je, kuapishwa kwa Rais mpya kutabadili sheria hizi kandamizi?