· Juni, 2021

Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Juni, 2021

Ujerumani yakiri kuhusika na mauaji ya kimbari nchini Namibia enzi za ukoloni, lakini wahanga wasema haitoshi

Miaka zaidi ya 100 baada ya mauaji ya kimbari ya watu wa kabila la Ovaherero na Nama nchini Namibia, Ujerumani inakiri kuhusika kwake na itatoa...

Waandishi wa habari wa vita wanaomboleza kuuawa kwa waandishi wa Uhispania nchini Burkina Faso

Mapigano baina ya makundi ya wapiganaji wa jihad yameendelea kuongezeka tangu mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika 2015

Rajisi ya Usajili wa Watumiaji wa Simu za Mkononi Nchini Mexico Yazua Hofu Kuhusu Haki ya Faragha

"Uanzishwaji wa rajisi kam hii ulifanyika mwaka 2009, hata hivyo, kanzidata hii iliishia kuvujisha taarifa za watu na baadae kufikia uamuzi wa kuuzwa."

Serikali ya Angola Yafungia Kituo cha Runinga cha Kibrazili kwa Madai ya ‘Kukiuka Taratibu’

Serikali yatoa ufafanuzi wa kukisimamisha kufanya shughuli zake kituo cha runinga cha Record TV África kwa kile kinachoelezwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wake hakuwa "mzawa" wa...

Wanawake wawili waliobadilisha jinsia nchini Kamerun wahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa ‘kujaribu ushoga’

"Kuna sheria ipi inayoadhibu waliobadili jinsia kuwa wanawake kwa kosa kuvaa sketi fupi?" Hakuna mtu anastahili kifungo kwa kuhisiwa tu bila ushahidi, anasema mwanasheria wa...

Netflix kuonyesha filamu ya kwanza ya Angola

Dias Santana ni filamu ya Angola kwa 80% na AfrikaKusini kwa 20%

Serikali ya Nijeria yaifungia Twita baada ya mkanganyiko wa twiti ya rais iliyotishia matumizi ya nguvu kufutwa

Watumiaji wa twita nchini Naijeria kutoka kwenye makabila mbalimbali yalitumia majina ya Kiigbo kukuza alama habari ya #IamIgboToo kuonesha mshikamano wao na watu wa kabila...

Matukio ya unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni yaongezeka nchini Kenya

Katika mtandao wa intaneti nchini Kenya uliotawaliwa na wanaume, wanawake mara nyingi huwa walengwa wa matusi