Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Februari, 2016
Mtumiaji wa Twita Nchini Saudi Arabia Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 10 na Viboko 2,000 kwa Kosa la “Kukufuru Dini”
Saudi Arabia imemhukumu mtumiaji wa mtandao wa Twita kifungo cha miaka 10 jela pamoja na viboko 2,000 kwa kosa la kuandika twi 600 "zinazoeneza imani ya ukana-Mungu" mtandaoni.
Rais Mzee Kuliko wote Duniani, Robert Mugabe wa Zimbabwe Atimiza Miaka 92
"Nimeshafariki mara nyingi. Nimempita hata Yesu Kristu aliyekufa mara moja tu."
Polisi wa Kidini Thelathini Nchini Saudi Arabia Wahitimu Mafunzo ya Kukabiliana na Uchawi
Wajumbe thelathini wa Tume ya Kusimamia Maadili na Kukabiliana na Maovu wamemaliza mafunzo ya siku tano ya namna ya kukabiliana na uchawi, kuwatambua walozi na hata kuvunja laana zao.
Magazeti Nchini Iran Yabaini Udhalilishaji na Unyanyasaji wa Wanafunzi wa Afghanistan
“Hakuna matamko rasmi ya serikali yanayokemea uonevu dhidi ya wanafunzi wa Afghanistani. Tatizo ni mtazamo walionao wanajamii.”
Mfahamu Fish, Mkazi Katika Kambi Kubwa ya Wakimbizi Duniani
Miaka 23 akiwa kama mkimbizi katika kambi ya Dadaab, Abdullah "Fish" Hassan alitoroka kambini hapo kutokana na machafuko, hata hivyo, watoto wake wa kike bado wangalipo kambini hapo
‘Uganda ni Chungu Kinachotokota': Kukamatwa, Udanganyifu na Kufungwa kwa Mitandao ya Kijamii Vyatawala Uchaguzi
"Winning an election through hook and crook while clobbering your fellow countrymen should never be a proud moment!"
Uandishi wa Habari ni Kosa la Jinai Nchini Bahrain
Mwandishi wa habari wa Marekani, Anna Therese Day pamoja na wenzake walishikiliwa nchini Bahrain, na kisha kurudishwa nchini mwao wakati wa kumbukumbu ya miaka mitano ya maandamano ya kuipinga serikali ya nchini Bahrain.
Nguvu ya Mitandao ya Kijamii Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Uganda, 2016
"Uhuru wa kujieleza unaambatana na wajibu wake. Kuna wakati upotoshaji hutokea wakati wa kutoa taarifa na kwenye kuchangia maoni kupitia mitandao ya kijamii."