Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Novemba, 2008
Afrika ya Kusini: Matumizi ya Simu za Viganjani Kupambana na UKIMWI
Afrika ya Kusini imegundua silaha mpya katika vita dhidi ya VVU/UKIMWI – simu za viganjani. Kwenye mchakato mpya, jumbe za maandishi zitakuwa zikitumwa kila siku kuwahamasisha Wa-Afrika ya Kusini kwenda...