Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Agosti, 2016
Nchini Naijeria, Unaweza Kukamatwa kwa Kumwita Mbwa Jina Linalofanana na la Rais
"Yeyote ambaye ana mashaka kuhusu kesi hii kuhusishwa na siasa anapaswa kuifuatilia dhamira yake kwa ukaribu kabisa."
Pamoja na Kutokupata medali hata moja, Nepali ina kila sababu ya kujivunia
"Pamoja na kuwa hakuweza kuweka rekodi mpya ya kitaifa, ninajivunia kuwa #GaurikaSingh aliogelea kwa heshima ya Nepal kama mwanamichezo mdogo kuliko wote kwenye mashindano ya Olimpiki ya #Rio2016."
Serikali ya Ethiopia Yaua Waandamanaji Wapatao 100 Mwishoni mwa Juma Lililopita
Wakati mamia ya wandamanaji wameingia mitaani mwisho wa wiki hii kwenye majimbo ya Oromia na Amhara, vikosi vya usalama vimetumia nguvu kubwa kuwatawanya waandamanaji kwa risasi za moto. Kuna taarifa kwamba waandamanaji wapato 100 wameuawa.
Serikali ya Bangladesh Yazima Mitandao ya Intaneti na Kufungia Tovuti 35
“Kama sehemu ya zoezi linaloendelea, mitandao yote ya intaneti itazuiliwa kwa muda wakati wowote na eneo lolote la nchi.”
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Siasa za Pokémon Go
Kwenye kipindi cha wiki hii, tunakupeleka Iran, Japan, China, Mexico na Timor-Leste.