Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Siasa za Pokémon Go

Juma hili tunazungumza na wahariri wa Global Voices Oiwan Lam, Mahsa Alimardani na Nevin Thompson kuhusiana na siasa na vitendo vya kudhibiti mitandao vinavyoiathiri Pokémon Go katika nchi za Iran, Japan na China. Tunaangazia habari mbili zinazohusiana na uhuru wa habari huko Timor-Leste na Mexico.

Sehemu hii imewashirikisha Dalia KiakilirGiovanna SalazarNevin ThompsonMahsa Alimardani na Oiwan Lam. shukrani nyingi kwa waandishi wetu, watafisri na wahariri waliowezesha kipindi hiki kwenda hewani.

Katika kipidni hiki cha Yaliyotokea Wiki Hii Global Voices, tunakupatia muziki wenye leseni ya Creative Commons kutoka Maktaba ya mtandaoni ya Free Music, ikiwa ni pamoja na Please Listen Carefully wa JahzzarParade Shoes wa Blue Dot Sessions; Mobile wa Blue Dot Sessions; Falcon Hood wa Podington Bear; and Another Brick in the Wall (uliorekodiwa moja kwa moja) na Montana Skies.

Picha iliyotumiwa kwenye nembo ya SoundCloud imepigwa kwenye video ya YouTube ya SeaMTee Gaming.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.