Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Oktoba, 2022
Kwa nini Kiswahili hakijawa lugha inayounganisha Afrika?
Ushawishi wa kigeni pia huenda ukatatiza “kukubalika” kwa Kiswahili. Afrika kwa sasa inategemea pakubwa China kwa msaada wa kifedha. Na kwa upande wake, China inatumia nafasi hiyo, kupenyeza lugha ya Mandarin katika nchi nyingi za Afrika, ambazo ni pamoja na Kenya.