Habari kuhusu Uandishi wa Habari za Kiraia kutoka Machi, 2014
Mwanamke wa Misri: “Funga Mdomo Wako Obama!”
Tazama video hii ya mwanamke wa Kimisri akimwomba Rais wa marekani Barak Obama 'kufunga mdomo wake' ambayo inasambaa mtandaoni.
Mazungumzo ya GV: Namna ya Kutengeneza Video za Utetezi na Mabadiliko
Je, unatumia video kuifanya kampeni kuwa uhalisia? Je, una mpango wa kusimulia habari zako kwa kutumia kamera -au simu yako? Basi unahitaji kutazama video hii...
Walebanoni Wazindua Kampeni ya Kuwatetea Wasyria Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi
Watu wa Lebanon wameshikamana kutoa mwito wa kumaliza ubaguzi wa rangi dhidi ya wakimbizi wa Wasyria wanaoishi nchini humo, anaandika Joey Ayoub. "Nyumbani kwetu, ni...
Namna Huduma ya Kuhamisha Fedha kwa Njia ya Simu Ilivyobadili Maisha ya Wakenya
Wakenya kwenye mtandao wa Twita wanaeleza namna MPesa, huduma ya kufanya miamala ya kibenki kwa kutumia simu za mkononi, ilivyobadili maisha yao tangu kuanzishwa kwa...