Mazungumzo ya GV: Namna ya Kutengeneza Video za Utetezi na Mabadiliko

Je, unatumia video kuifanya kampeni kuwa uhalisia? Je, una mpango wa kusimulia habari zako au kutengeneza filamu za shughuli fulani kwa kutumia kamera -au simu yako?

Kwenye toleo hili la Mazungumzo ya #GV , Matisse Bustos Hawked na Bukeni Waruzi kutoka shirika la Witness na Laura Morris kutoka Rising Voices kujadili masuala muhimu ya kuzingatia wakati wa kutengeneza video kwa ajili ya utetezi, na namna ya kukabiliana na matatizo ya mara kwa mara yanayojitokeza kwenye uandishi wa habari za kiraia, ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwenye maeneo yenye mtandao usio na kasi na namna ya kuifikia hadhira kwa njia za kitekilojia (za juu na zile za kawaida).

Pia walijadili umuhimu wa kuhakiki maudhuri na mbinu bora za kufanya kazi hiyo na pia kujibu maswali yenu kupitia kipindi cha maswali na majibu.

1 maoni

  • Kiungo cha makala haya kutokea kwenye tovuti nyingine: Mazungumzo ya GV: Namna ya Kutengeneza Video za Utetezi na Mabadiliko | TravelSquare

    […] Mazungumzo ya GV: Namna ya Kutengeneza Video za Utetezi na Mabadiliko Je, unatumia video kuifanya kampeni kuwa uhalisia? Je, una mpango wa kusimulia habari zako au kutengeneza filamu za shughuli fulani kwa kutumia kamera -au simu yako? Kwenye toleo hili la Mazungumzo ya #GV , Matisse Bustos Hawked na Bukeni Waruzi kutoka shirika la Witness na Laura Morris kutoka Rising Voices kujadili masuala muhimu ya kuzingatia wakati wa kutengeneza video kwa ajili ya utetezi, na namna ya kukabiliana na matatizo ya mara kwa mara yanayojitokeza kwenye uandishi wa habari za kiraia, ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwenye maeneo yenye mtandao usio na kasi na namna ya kuifikia hadhira kwa njia za kitekilojia (za juu na zile za kawaida). Pia walijadili umuhimu wa kuhakiki maudhuri na mbinu bora za kufanya kazi hiyo na pia kujibu maswali yenu kupitia kipindi cha maswali na majibu. Imeandikwa na Sahar Habib Ghazi · Imetafsiriwa na Christian Bwaya · Angalia ujumbe mama [en] · maoni (0) Tuma: facebook · twitter · googleplus · reddit · StumbleUpon · delicious … Kusoma makala kamili  »  https://sw.globalvoicesonline.org/2014/03/mazungumzo-ya-gv-namna-ya-kutengeneza-video-za-utetezi-na-mabadiliko/ […]

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.