Tamasha la Kwanza la ” Africa Web Festival” Litafanyika Jijini Abidjan, Côte d'Ivoire

Logo Africa web festivalTamasha la kwanza la Africa Web Festival litafanyika jijini Abidjan, Côte D'Ivoire (Novemba 24-26).  Tamasha hilo litawapa fursa wabunifu wa Afrika kushiriki kwenye mashindano (zoezi la kujiandikisha liko wazi mpaka Oktoba 12)

Vous êtes journalistes, développeurs, producteurs de web tv, de web radio ; vous êtes créateurs et innovateurs et avez une idée ou un projet en tête? Inscrivez-vous au premier Africa Web Festival dans l’une des six catégories de compétition : documentaire, tourisme, fiction, animation, éducation, publicité et tourisme.
 
L’Africa Web Festival est également une plateforme d’échanges entre experts, passionnés et novices du monde entier, qui fera l’état des avancées actuelles dans le domaine du numérique et animera le débat sur la planète numérique : ses espoirs, ses enjeux et les défis auxquels l’Afrique est exposée, afin que le continent prenne sa place dans la nouvelle planète numérique.

 Wewe ni mwandishi wa habari, muundaji wa tovuti, mtayarishaji wa vipindi vya runinga mtandaoni au podikasti? Je, wewe ni mbunifu, mgunduzi na una wazo au mradi kichwani mwako? Ungana na tamasha la kwanza la Web Africa Festival kwenye moja wapo ya makundi yafuatayo ya ushindani: dokumentari, utalii, masimulizi, burudani, elimu na matangazo.   Africa Festival Web ni jukwaa la kubadilishana uzoefu miongoni mwa wataalam, wapenda mtandao na watu wajifunzao mambo mapya kutoka duniani kote, ambako hali ya sasa ya mambo kwenye ukuzaji wa mtandao itajadiliwa. Kutakuwa na nafasi ya mjadala kuhusu matumaini na changamoto zinazokabili mtandao wa intaneti barani afrika, ili bara liweze kuchukua nafasi yake kwenye ulimwengu wa kidijitali.

 

2 maoni

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.